Kikaragosi Kinachochezeshwa kwa Vijiti
中国国际广播电台
 

      Vikaragosi hivyo pia vinaitwa “vibaraka vinavyochezeshwa kwa vijiti”. Vikragosi katika picha hizo vimechongwa kwa mbao, na macho yake yanaweza kucheza. Vikaragosi hivyo vinagawanyika katika saizi za aina tatu, yaani kubwa, ya katikati na ndogo.

Kikaragosi huwa na mitindo tofauti kutoka na sehemu tofauti. Lakini sura za vikaragosi huambatana na opera za jadi za kienyeji. Vikaragosi vilivyotengenezwa katika sehemu tofauti pia zina tabia tofauti na zinavutia kwa sifa tofauti.