Vyombo vya Kuchezea Watoto “Mfalme Kima”
中国国际广播电台
 

      Katika uchoraji wa jadi sura za “mfalme kima” katika hadithi za “Safari ya Kwenda Magharibi” zinachorwa sana. Vitu vya kuchezea watoto huonesha jinsi kima anavyokuwa mwepesi wa kucheza na wa akili.

   Katika picha mfalme kima na mwenzake nguruwe wanaonekana wazi kwa tabia zao, mmoja mwepesi mwingine mpole na mwenye sura mbaya. Sanamu ya mfalme kima inaonesha kima mwepesi wa kuruka na kukimbia na kuparamia miti, na sanamu ya nguruwe inaonesha tabia yake ya uvivu.