“Kufuli la Maisha Marefu” Linalovaliwa Shingoni
中国国际广播电台
 

    Kufuli la maisha marefu ni kitu cha kuomba baraka kwa watoto wa kiume na wa kike. Kufuli hilo hufungwa kwa mkufu na kuvaliwa shingoni mpaka watoto wanapooa au kuolewa.

Hapo zamani kutokana na hali ya matibabu kuwa duni, watoto walikuwa wanakuwa wakiwa bado wadogo, kwa hiyo wazazi waliwalisha watoto wao “kufuli la maisha marefu” shingoni ili wapate maisha marefu.

  Kwenye kufuli kuna michongo au maneno ambayo yote yanaonesha ombi la maisha marefu na baraka.