Mapambo Yaliyotariziwa kwenye Mavazi ya Kabila la Wabai
中国国际广播电台
 

      Mkoani Yunnan kuna makabila madogo madogo zaidi ya 20, na kila kabila lina mila ya kutarizi mapambo kwenye mavazi yao. Utarizi huo umekuwa na miaka zaidi ya elfu mbili.

Utarizi wa kabila la Wabai huonekana kwenye shela, aproni, kofia kubwa ya ukili na viatu.

     Pichani: Wasichana wa kabila la Wabai hufunga nywele kwa utepe mwekundu kwa kuonesha kuwa hawajaolewa na kufunga sketi kwa utepe uliotariziwa.