Nguo Yenye Vipande Vingi vya Kitambaa
中国国际广播电台
 

      Nguo hiyo inatokana na mila ya zamani ambayo watoto wanakua na afya kwa kutegemea msaada wa chakula na nguo kutoka kwenye familia mbalimbali.

  Nguo yenye vipande vingi vya kitambaa inamaanisha nguo inapatikana kutoka familia mbalimbali. Nguo hiyo ina rangi mbalimbali kutokana na vitambaa tofauti.

Licha ya nguo za aina hiyo pia kuna fulana. Watu wa sehemu ya kaskazini wa mikoa ya Shan'xi, Shanxi, Gansu, Henan, Hebei na Shandong wana desturi ya kuvaa nguo hizo.