Miungu katika Uchoraji wa Jadi (4)
中国国际广播电台
 

   Watu wa kabila la Wabai mkoani Yunnan wana imani ya kumwabudu mungu wa moto. Sura ya mungu huyo haina maalumu bali inategemea jinsi wachoraji wanavyofikiri.

Watu wa kabila la Wabai huwasha udi na kuwasha moto noti nje ya mlango kwa kumwabudu mungu wa moto.

Pichani, mungu wa moto mwenye mavazi ya kifalme ana vishungi virefu vitano vya sharafa, chini ya picha kuna maneno “mungu wa moto”.