Vitu vya Karatasi kwa ajili ya Sadaka Wilayani Cao katika Mkoa wa Shandong
中国国际广播电台
 

    Vitu vya karatasi hutumika katika mazishi, vitu hivyo huwa ni farasi, nyumba. Ushirikina huo ulianza katika miaka mingi iliyopita. Licha ya vitu pia kuna sanamu ya watu walioelezwa katika hadithi au watu mashuhuri wa historia.

Picha 1: Hawara wa mfalme Yang Guifei aliyelewa.

Picha 2: Pandikizi Lu Zhishen apambana katika msitu Yezhulin.

Picha 3: Panya aolewa

Picha 4: Jasiri Zhang Fei


     

Katika picha ya nne jasiri Zhang Fei anaonekana mwenye hamaki akiwa mkuki mkononi.

Lu Zhishen ni mtu aliyesimuliwa katika “Mashujaa kwenye Vinamasi”, moja kati ya riwaya nne mashuhuri za kale.

Katika picha ya pili: Lu Zheshen alipambana kishujaa na majambazi ili kumlinda rafiki yake. Picha hiyo inatokana na hadithi ya “Mashujaa kwenye Vinamasi”.