Sanaa ya Kutengeneza Vitu kwa Katarasi
中国国际广播电台
 

      Sanaa hiyo ilitokea na mila za kale, na vitu vilivyotengenezwa vilitumika kwenye mazishi, na kwa ajili ya tambiko.

Vitu hivyo vimegawanyika katika aina nne: moja ni sanamu ya mungu, wakati wa mazishi, sanamu hiyo ya karatasi huchomwa moto mbele ya kaburi; pili ni sanamu za watu, zikiwa ni pamoja na sanamu za watoto, watumishi au watu katika hadithi fulani. Tatu ni nyumba na magari. Nne ni vitu vinavyotumika katika chakula.

Pichani, mmoja ni jemadari mwenye deraya, ndevu. Mwingine ni mtoto mwenye suruali nyekundu, na kwenye nguo yalichorwa majani ya myungiyungi.