Vyombo vya Kauri (2)
中国国际广播电台
 

      Katika China ya kale, kulikuwapo na mto wa kulalia wa kauri. Mto huo alikuwa anapewa binti anayeolewa na kwenye mto huo huchongwa maneno “mto wa kulalia wa maisha marefu”.

      Pichani ni mto wa kulalia kwa sura ya kichwa cha paka, mto kama huo hutumika zaidi katika mikoa ya Hebei na Shandong, kaskazini mwa China.