Vyombo vya Kauri (7)
中国国际广播电台
 

      

Chupa ya kuwekea pombe. Hii ni kauri iliyopakwa rangi nyeusi ambayo onaonekana laini na ni rahisi kusafishwa.

Pichani, ni chupa yenye ujazo wa pombe lita mbili na nusu. Kwenye chupa kuna maneno “lita mbili na nusu”, na pembeni kuna vishikizo viwili ili kutundikwa.