Jumba la Ghorofa la Udongo Kusini mwa China
中国国际广播电台
 

Jumba la ghorofa la udongo ni makazi kwa watu wa sehemu ya kusini katika mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China.

Jumba la ghorofa hujengwa kwa duara, ukuta wa jumba hilo huwa na unene wa mita moja hivi kwa udongo ulioshindiliwa, na jumba linakuwa na ghorofa mbili hadi nne. Jumba hilo limejengwa kwa duara, na katikati kuna kisima. Jumba hilo halina madirisha kwa nje. Kwenye ghorofa ya chini na ya kwanza hutumika kama ni ghala.

  Watu wanaokaa katika jumba hilo ni wa ukoo mmoja. Wanaishi kwa pamoja katika jumba kama hilo kunasaidia kuimarisha uhusiano wao wa kijamaa.