Vyombo vya Kuumba Maumbo ya Chakula
中国国际广播电台
 

    Tokea enzi ya Ming na Qing, vyakula vya unga vilikuwa vinatengenezwa kuwa maumbo kwa vyombo maalumu. Vyombo hivyo vilikuwa vinatengenezwa maumbo ya maua au maneno kwa ndani na kutia unga wa ngano ndani na baada ya kupikwa kwa mvuke, vyakula huwa na maumbo maalumu yenye michongo ya maua au maneno.

Pichani ni chakula chenye maneno ya “baraka”, “maisha marefu” kwa umbo la pichi na majani yake. Watu hasa wazee wanaposherehekea sikukuu zao za kuzaliwa hula mikate yenye maneno kama hayo ya baraka.