Nyumba ya Tajiri Qiao Mkoani Shanxi
中国国际广播电台
 

      Mkoa wa Shanxi ni moja ya vyanzo vya utamaduni wa kale nchini China, majengo ya nyumba ni sehemu ya utamaduni huo.

Nyumba hiyo ilijengwa katika Enzi ya Qing, mpangilio wa majengo ni neno la Kichina ambalo lina maana ya “furaha mbili”. Ukuta wa ua wa nyumba hiyo una kimo cha mita zaidi ya 10, ndani ya nyumba kuna nyua 19 na vyumba zaidi ya 300.

Pichani ni sanamu za kuchongwa kwenye ujia zikiwa ni pamoja na mbao zenye maandishi, mlango, nyumba hiyo inaonekana ni ya kiutamaduni sana.