Xibili
中国国际广播电台

      Xibili ni ala ya kabila la Wakorea wanaokaa mkoani Jilin. Sauti yake ina ladha nzito ya muziki wa kabila la Wakorea.

Xibili ina sehemu mbili, moja ya filimbi kwa bua la tete na paipu ya mwanzi. Urefu wake ni sentimita 20-25, ina vitundu 7.

Mpigaji wa ala hiyo anaziba vitundu vitatu kwa vidole vya mkono wa kushoto na kuziba vitundu vinne kwa vidole vya mkono wa kulia.

Ala hiyo inaweza kutoa sauti 20, na inaweza kutoa sauti mbili tofauti kwa pamoja, lakini ufundi wa kupiga ala hiyo ni mgumu.

Mnasikiliza: Upepo mwororo wa Spring