Israel yashambulia shabaha za kijeshi za kundi la Hamas
2021-05-10 09:27:04| cri

 

 

Jeshi la Israel limetoa taarifa likisema, roketi iliyorushwa kutoka ukanda wa Gaza imeshambulia nchini Israel, na ili kujibu shambulizi hilo  ndege za kivita za Israel zimeshambulia kwa mabomu shabaha za kijeshi za kundi la Hamas kwenye ukanda wa Gaza.

Wizara ya ulinzi ya Israel siku hiyo imetangaza kuwa, kutokana na kuingia nchini Israel kwa maputo yaliyotengwa na vifaa vya mlipuko kutoka Gaza, Israel imeamua kufunga eneo la uvuvi kwenye ukanda wa Gaza kuanzia siku hiyo.