Watu 35 wa Palestina wauawa kwenye mashambulizi ya anga ya Israel
2021-05-13 08:58:01| CRI

Jeshi la Israel limefanya shambulizi lingine la anga dhidi ya ukanda wa Gaza jana alfajiri, na kufanya idadi ya vifo vya wapalestina kwenye mashambulizi ya anga yaliyoanza Jumatatu usiku, kufikia 35, na jumla ya watu 233 kujeruhiwa.