Sehemu ya kiini ya chombo cha anga ya juu cha China Tianhe chakamilisha majaribio kwenye obiti
2021-05-18 19:20:40| CRI

 

 

Sehemu ya kiini ya chombo cha anga ya juu cha China Tianhe kimekamilisha majaribio kwenye jukwaa lake, na kuingia kwenye obiti na kuungana na chombo cha mizigo cha Tianzhou-2.

Chombo cha kiini kilichotumwa tarehe 29 Aprili kimekamilisha majaribio yake na kuungana, mwanaanga kukaa na mikono ya kimakanika, pamoja na kujaribu vifaa vya mradi huo.

Shirika la mradi wa kupeleka binadamu angani la China CMSA limesema utendaji wa vifaa hivyo viko kawaida.