Rais wa China amezungumza na wanaanga walioko kwenye kituo cha anga za juu
2021-06-23 09:54:18| Cri

Rais Xi Jinping wa China, leo hii amefanya mazungumzo na wanaanga watatu wa China walioko katika Kituo cha anga ya juu cha China cha Tianhe.