Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za pole kwa Rais Teben wa Algeria kufuatia moto wa msituni nchini Algeria
2021-08-18 08:38:56| cri

Rais Xi Jinping wa China jana alituma salamu za pole kwa mwenzake wa Algeria Bw. Teben kufuatia moto wa msituni uliotokea nchini Algeria, na kusababisha vifo na majeruhi. Kwa niaba ya serikali na watu wa China, Rais Xi ametoa salamu za pole kwa wafiwa na familia zao.