Rais wa China kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa FOCAC kwa njia ya mtandao
2021-11-26 11:02:42| CRI

Rais Xi Jinping wa China atahudhuria ufunguzi wa mkutano wa ngazi ya mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwa njia ya mtandao.

Mkutano huo unatarajiwa kufanyika huko Dakar nchini Senegal kuanzia Novemba 29 hadi 30 mwaka huu.