Ujenzi wa jengo jipya la bunge la Zimbabwe lililojengwa na China wakamilika
2022-06-30 08:48:52| cri

Ujenzi wa jengo jipya la bunge la Zimbabwe ambao ni mradi mkubwa zaidi wa msaada wa ujenzi wa China kusini mwa Afrika, ulifanya siku ya wazi ya vyombo vya habari jana mjini Hampden Hills. Kampuni ya Ujenzi ya Shanghai ilitangaza kuwa mradi huo umekamilika na kupitisha ukaguzi wa ujenzi.

Kampuni hiyo imesema, itatoa huduma ya kukarabati ya miaka 2 kwa jengo hilo jipya lenye ukubwa wa mita za mraba 33,000.