Xi ampongeza Ruto kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Kenya
2022-09-07 21:22:34| cri

Rais Xi Jinping wa China amempongeza Bw.William Ruto kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Kenya.

Rais Xi amesema anapenda kufanya juhudi pamoja na rais Ruto kukuza uhusiano wa wenzi wa kimkakati wa pande zote kati ya China na Kenya na kunufaisha nchi mbili na wananchi.