Li Keqiang kuongoza mkutano wa Baraza la Wakuu wa Serikali (Mawaziri Wakuu) la Nchi Wanachama wa SCO
2022-10-31 21:44:01| CRI

Mkutano wa Baraza la Wakuu wa Serikali (Mawaziri Wakuu) la Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai SCO utafanyika tarehe mosi Novemba kwa njia ya video. Waziri mkuu wa China Li Keqiang ataongoza mkutano huo hapa Beijing.