Idadi ya vifo kutokana na tetemeko la ardhi kwenye mkoa wa Java nchini Indonesia yafikia162
2022-11-22 08:28:35| cri


 

Idara ya kukabiliana na hali dharura ya mkoa wa Java nchini Indonesia imesema, idadi ya vifo vilivyotokana na tetemeko la ardhi lenye ukubwa 5.6 imeongezeka na kufikia 162, na zaidi ya watu elfu 10 wa eneo hilo wamekimbia makazi yao ili kuepuka janga hilo.