Watu 12 wauawa katika mashambulizi ya mabomu ya kujitoa mhanga nchini Somalia
2022-02-21 09:36:04| cri

 

 

     Polisi nchini Somalia wamethibitisha kuwa, watu 10 wameuawa na wengine 15 kujeruhiwa katika shambulizi la mabomu la kujitoa mhanga lilitokea jumamosi huko Beledweyne nchini humo.

    Habari nyingine zinasema, siku hiyo shambulizi la mabomu pia lilitokea kwenye mji wa bandari Boosaaso nchini humo, na kusababisha vifo vya watu wawili na wengine watano kujeruhiwa.