Azimio la Beijing na mpango kazi imepitishwa katika mkutano wa kilele wa FOCAC
2024-09-05 14:18:56| cri

Azimio la kujenga kwa pamoja jumuiya ya China na Afrika yenye mustakabali wa pamoja ya hali zote katika zama mpya na mpango wa utekelezaji wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwa miaka mitatu ijayo lilipitishwa Alhamisi kwenye mkutano wa kilele wa FOCAC hapa Beijing.