-
Kuna njia ya kwenda kutalii mkoani Yunnan?
有 yǒu, kuna.
没有 méiyǒu, hakuna.
去 qù, kwenda.
云南 Yún nán, mkoa mmoja katika kusini mwa China.
路线 lù xiàn, njia.
-
Hakika mtafurahi.
你们 nǐ men, ninyi.
一定 yí dìng, hakika.
不会 bú huì, kutoweza.
失望 shī wàng, sikitika.
-
Nina matumaini kuwa shughuli za kila siku siyo nyingi sana.
我希望 wǒ xī wàng, nina matumaini.
日程 rì chéng, shughuli za kila siku.
不要太紧 bú yào tài jǐn, siyo nyingi sana.
-
Nataka kutembelea sehemu nyingi zaidi.
我想 wǒ xiǎng, nataka.
多 duō, nyingi.
去 qù, kwenda.
些 xiē, kadhaa.
地方 dì fang, sehemu.
-
Sehemu gani inauza vitu vya kumbukumbu?
哪儿 nǎr, sehemu gani.
卖 mài, uza.
纪念品 jì niàn pǐn, vitu vya kumbukumbu.