somo 44 Kutoa ripoti ya kupotea kwa kadi
-
 1. 可以刷卡吗?
Kěyǐ shuā kǎ ma?
Naweza kulipa kwa kadi?
-
 2. 交现金还是刷卡?
Jiāo xiànjīn háishi shuā kǎ?
Unalipa kwa fedha taslim au kwa kadi?
-
 3. 我刷信用卡。
Wǒ shuā xìnyòngkǎ.
Nalipa kwa kadi.
-
 4. 请您在这里签字。
Qǐng nín zài zhèlǐ qiān zì.
Tafadhali weka saini hapa.
-
 1. 我的钱包丢了。
Wǒ de qiánbāo diū le.
Mkoba wangu umepotea.
-
 2. 我的银行卡也丢了。
Wǒ de yínhángkǎ yě diū le.
Kadi yangu ya benkini pia imepotea.
-
 3. 那你赶快挂失吧。
Nà nǐ gǎnkuài guàshī ba.
Toa ombi la haraka la kuthibitisha kupotea kwa kadi yako benkini.
-
 4. 一个星期以后来取。
Yí gè xīngqī yǐhòu lái qǔ.
Uje kuchukua baada ya wiki moja.
|