somo 51 Kutembelea mgonjwa

 ongea na CRI
 
  • angalia
  • kujifunza
  • mazoezi
  • 正常播放     你好点儿了吗?Nǐ hǎo diǎnr le ma?
    Ukiumwa na kulazwa hospitali, marafiki zako huweza kwenda kukuangalia na kukuuliza: 你好点儿了吗? Umepata nafuu kidogo?
    你 nǐ, wewe.
    好点儿 hǎo diǎnr, nafuu kidogo.
    了 le, kisaidizi cha neno.
    吗 ma, kisaidizi cha neno.
  • 正常播放  慢速播放  A: 你好点儿了吗?
    Nǐ hǎo diǎnr le ma?
    Umepata nafuu kidogo?
  • 正常播放  慢速播放  B: 好些了。您那么忙还来看我。
    Hǎo xiē le. Nín nàme máng hái lái kàn wǒ.
    Nimepata nafuu, nakushukuru kupoteza muda wako kuja kuniangalia.