wachina wanapenda tarakimu shufwa, kwani wanaona tarakimu shufwa inaweza kuleta baraka. Tarakimu 8, matamshi yake ya Kichina kwenye baadhi ya sehemu ni "fa", maana yake ni sawasawa na "fa cai" yaani kutajirika, hivyo wachina wengi wanapenda kuchagua "8" kuwa tarakimu baraka. mfano mwingine ni tarakimu "6", wachina wanapenda kuchagua pia "6" kuwa ni tarakimu baraka, wanaona "6" inaweza kuleta baraka, bila matatizo.