Safari ya Turpan
Leo ilikuwa ni siku yetu ya tatu mjini Urumqi. Siku ambayo ilikuwa na shughuli tele. Tulianza majira ya saa tatu tukielekea kilomita mia moja tisaini namoja safari ambayo ilitufikisha katika eneo la Turpan. Hapa tuliweza kuona mojawapo wa namna mkoa wa Xinjiang unabuni kawi.
Safari siku ya pili
Shughuli siku ya pili zilianza pale tulipokuwa na sherehe za kuanzisha rasmi zoezi hili la kunasa mila desturi na hata tabiaza wenyeji pamoja na wakazi wa Xinjiang mashuhuri kama "Xinjiang through mylens". Sherehe hiyo iliyokuwa ya kufana sana ilihudhuriwa na naibu mkuu wachina redio kimataifa Bi Wang Dongmei.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved.
16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040