• Siku ya tatu
Mji mkongwe wa Jiaohe uko katika wilaya ya turpan karibu 200km mashariki mwa Urumqi. Inaaminika kwamba huu mji ni wa jadi mno, unarejelea miaka inarejelea miaka elfu moja iliyopita. Wakazi wamenufaika mno si haba kwa makavazi ya huu mji...
• Siku ya pili Xinjiang, Tianchi
Leo ilikuwa siku ya uzinduzi wa Xinjiang "through the lens",tulijumuika sote kusikiza hotoba fupi fupi ya naibu mkuu wa CRI Bi Wang na mkurugenzi wa habari Xinjiang Bi Hou. Wote walitueleza kwamba radio china kimataifa(cri)ni chombo muhimu cha habari kinacho fahamisha ulimwengu mambo ya China...