- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Kila siku unakwenda kazini saa ngapi?Kila siku unaondoka kazini saa ngapi? Ni mei tian ji dian shang ban? Ni, wewe, mei tian, kila siku, ji dian, saa ngapi, shang ban, kwenda kazini. Ni mei tian ji dian xia ban? Ni, wewe, mei tian, kila siku, ji dian, saa ngapi, xia ban, ondoka kazini.
-
Kila siku unakwenda kazini saa ngapi?
-
Saa 3 asubuhi.
-
Kila siku unaondoka kazini saa ngapi?
-
Saa 11 jioni.