Wachina hawana mwiko wa kuzungumza mapato yao, kwani zamani wachina wengi walikuwa hawana mapato ya juu. Hata siku hizi baadhi ya wachina wanatangaza mishahara yao kwenye tovuti za mtandao wa internet, ili wengine wanaweza kufahamishwa kazi tofauti, mishahara ina tofauti gani