-
Siku hizi una pilikapilika za kazi?
Ni, wewe,zui jin, siku hizi, hivi karibuni, mang, kazi nyingi, ma, kisaidizi cha neno, huwekwa nyuma ya sentensi ya kuuliza.
-
Ushabiki wako ni nini?
wakati tunapozungumzia suala kuhusu ushabiki wa watu, huwa tunaweza kumwuliza mtu:"ushabiki wako ni nini?" Ni de, wako, ai hao, ushabiki,shi, ni, shen me, nini,
shi shen me, ni nini.
-
Mimi napenda kusoma vitabu.
Wo, mimi.
Xi huan, penda.
kan shu , soma vitabu.
-
wewe utafanya nini wikiendi?
Zhou mo, wikiendi,
ni, wewe,
yi ban, kwa kawaida.
gan, kufanya,
shen me, nini,
gan shen me, kufanya nini.