somo 12 katika mkahawa wa chakula cha haraka

 ongea na CRI
 
  • angalia
  • kujifunza
  • mazoezi
  • 正常播放   你想吃什么?Nǐ xiǎng chī shénme?

    Unataka kula chakula gani?
    Ni, wewe,
    xiang, kutaka,
    chi, kula,
    shen me, nini.
  • 正常播放   我要一个汉堡,还有一杯红茶。Wǒ yào yí gè hànbǎo, hái yǒu yì bēi hóngchá.

    Nataka Hamburger pamoja na kikombe kimoja cha chai nyekundu.
    "wo yao", mimi nataka,
    yi ge, moja,
    han bao, hamburger.
    Nataka hamburger moja, wo yao yi ge han bao; hai you, na,
    yi bei, kikombe kimoja,
    hong cha, chai nyekundu,
    "hai you yi bei hong cha", na kikombe kimoja cha chai nyekundu.
  • 正常播放   在这儿吃还是带走?Zài zhèr chī háishì dàizǒu?

    Una kula hapa au utaondoka na chakula hicho?
    Hivi sasa kuna mikahawa mingi ya chakula cha haraka nchini China. Baadhi ya watu wanapenda kula katika mikahawa hiyo, wengine wanapenda kuondoka na chakula hicho na kula katika mahali pengine. Mhuduma atakuuliza: zai zhe er chi hai shi dai zou? zai:katika. zhe er: hapa. chi:kula. hai shi:au. dai zou: kuchukua na kuondoka nacho.
  • 正常播放  慢速播放  A: 你想吃什么?
    Nǐ xiǎng chī shénme?
    Unataka kula chakula gani?
  • 正常播放  慢速播放  B:我要一个汉堡,还有一杯红茶。
    Wǒ yào yí gè hànbǎo, háiyǒu yì bēi hóngchá.
    Nataka Hamburger pamoja na kikombe kimoja cha chai nyekundu
  • 正常播放  慢速播放  A:在这儿吃还是带走?
    Zài zhèr chī háishì dàizǒu?
    Unakula hapa au unaondoka nacho?
  • 正常播放  慢速播放  B:在这儿吃吧。
    Zài zhèr chī bɑ.
    Nakula hapa.