- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Tafadhali niambie kuna shampoo?
Ukienda kwenye supamaketi ukitaka kununua shampoo ya kuosha nywele, unaweza kuuliza: Qing wen you xi fa shui mai ma? Tafadhali niambie kuna shampoo? Qing wen, tafadhali niambie, you, kuna, xi fa shui, shampoo, mai, uza, ma kisaidizi cha neno kwa kuuliza.
-
Tafadhali niambie kuna shampoo?
-
Shampoo ziko kwenye rafu ya mbele.