somo 23 katika duka kubwa
-
 1. 我想买一件旗袍。
Wǒ xiǎng mǎi yí jiàn qípáo.
Nataka kununua gauni moja la Qipao.
-
 2. 这是什么料子的?
Zhè shì shénme liàozi de?
Hiki ni kitambaa cha aina gani?
-
 3. 蓝色的好还是黄色的好?
Lánsè de hǎo háishì huángsè de hǎo?
Kati ya nguo ya rangi ya buluu na ya rangi ya manjano, ipi inapendeza zaidi?
-
 4. 能试试吗?
Néng shìshi ma?
Naweza kujaribu kuvaa nguo hii?
-
 5. 能打折吗?
Néng dǎ zhé ma?
Naweza kupunguziwa bei?
-
 1. 我想买一个小冰箱。
Wǒ xiǎng mǎi yī gè xiǎo bīngxiāng.
Nataka kununua jokofu moja dogo.
-
 2. 哪种质量好?
Nǎ zhǒng zhìliàng hǎo?
lipi ni lenye sifa nzuri?
-
 3. 它的噪音特别小。
Tā de zàoyīn tèbié xiǎo.
Jokofu hili linatoa sauti kidogo.
-
 4. 别的店更便宜。
Bié de diàn gèng piányi.
Katika maduka mengine bei ya jokofu kama hili ni rahisi zaidi.
-
 5. 能用信用卡吗?
Néng yòng xìnyòngkǎ ma?
Kadi inaweza kutumika?
-
 6. 能送货吗?
Néng sòng huò ma?
Mnaweza kuwasilisha bidhaa?
|