-
Nataka kuagiza tiketi ya kwenda Xian na tiketi ya kurudi kutoka mji huo.
Xian ni mji maarufu wa historia na utamaduni nchini China, pia ni mji wenye nguvu kubwa zaidi ya jumla kwenye sehemu ya magharibi mwa China, kama ukitaka kuagiza tiketi ya kwenda Xi'an na tiketi ya kurudi kutoka mji huo, unaweza kusema: wo xiang ding qu Xi'an de wang fan ji piao. wo xiang: nataka, ding: agiza, qu: kwenda, wang fan ji piao: tiketi ya kwenda na kurudi.
-
Naweza kupata tiketi yenye punguzo la bei?
You da zhe de piao ma? You: kuna, da zhe de piao: tiketi yenye punguzo la bei, ma: kisaidizi cha neno kwa kuuliza.
-
Mzigo wako unasafirishwa? Xing li tuo yun ma? Xing li:mzigo, tuo yun: kusafirisha, ma: kisaidizi cha neno kwa kuuliza.
-
Nataka kupata kiti cha dirishani. Wo xiang yao: nataka kupata, yi ge: moja, kao chuang: egemea dirisha, kao chuang de zuo wei: kiti kinachoegemea dirisha.
-
Nimeshindwa kutafuta mzigo wangu. Wo zhao bu dao xing li le. Wo: mimi, zhao bu dao: kushindwa kutafuta, xing li: mzigo, le:kisaidizi cha neno.