Wachina wanapopigia simu husema kwanza: 喂(wei),maana yake ni Hello. Wanaweza kusema, 喂,请问是哪位?(wei, qing wen shi na wei)Hello, tafadhali niambie wewe ni nani? Ama wanaweza kusema, 请问你找谁?(qing wen ni zhao sui)Tafadhali niambie unataka kuongea na nani? Desturi hii ni tofauti na watu wa magharibi.