-
Tafadhali niambie, posta iko wapi?
post office, 邮局 yóu jú.
请问 qǐng wèn,tafadhali niambie.
邮局 yóu jú, posta.
在哪儿 zài nǎr, iko wapi.
-
Nataka kumtumia mtu kifurushi.
我要寄包裹. wǒ yào jì bāo guǒ , Nataka kumtumia mtu kifurushi.
我 wǒ, mimi.
要 yào, kutaka.
寄 jì, kumtumia.
包裹 bāoguǒ, kifurushi.
-
Kifurushi kitafika baada ya siku gani?
多长时间 duō cháng shí jiān, muda gani.
能 néng, weza,
到 dào, fika.
-
Nataka kuchukua kifurushi.
我要 wǒ yào, nataka.
取 qǔ, chukua.
包裹 bāo guǒ, kifurushi.
-
Nataka kununua kadi kadhaa za kuwatumia marafiki zangu.
我要 wǒ yào, nataka.
买 mǎi, nunua.
几张 jǐ zhāng, kadhaa.
明信片 míng xìn piàn, kadi.
寄给朋友jì gěi péng you, kuwatumia marafiki.