- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Nataka kupanga nyumba.
我想 wǒ xiǎng, nataka.
租 zū, panga.
房 fáng, nyumba.
-
Unataka kupanga nyumba ya namna gani?
您 nín, wewe.
想 xiǎng, taka.
找 zhǎo, kutafuta.
什么样的 shén me yàng de, aina gani.
房子 fáng zi, nyumba.
-
Nataka kupanga nyumba.
-
Unataka kupanga nyumba ya namna gani?
-
Nyumba yenye vyumba viwili vyenye samani, sipendi nyumba mbovu sana.