-
Tafadhali nenda kachukue namba yako, halafu uende kule kusubiri.
请 qǐng, tafadhali.
您 nín, wewe.
先 xiān , kwanza.
拿 ná, chukua.
号 hào, namba.
再 zài, halafu.
去那边 qù nà bian, kwenda kule.
等候 děng hòu, subiri.
-
Tafadhali niambie, natakiwa kusubiri kwa muda gani?
请问 qǐng wèn, tafadhali niambie.
需要 xū yào, takiwa.
等 děng, subiri.
多长时间 duō cháng shí jiān, muda gani.
-
Nataka kuchukua pesa.
我 wǒ, mimi
想 xiǎng, taka.
取 qǔ, kuchukua.
点 diǎn, kadhaa.
钱 qián, pesa.
-
Unataka kuchukua pesa ngapi?
您 nín, wewe.
取 qǔ, chukua.
多少 duō shao, ngapi.
钱 qián, pesa .
-
Tafadhali andika namba yako ya siri.
请 qǐng, tafadhali.
您 nín, wewe.
输入 shū rù, andika.
密码 mì mǎ, namba ya siri.