Kwa kufuata mila na desturi za kichina, wageni wakiondoka, wenyeji huwasindikiza mpaka garini au kituo cha gari. Kama wakiwa na gari, huenda wanawasindikiza mpaka nyumbani kwao kwa gari. Mila hiyo ni tofauti na ya nchi za magharibi. Kwa kawaida baada ya kusema kwa heri, wazungu wakafunga mlango.