-
 1. 您好,要帮忙吗?
Nín hǎo, yào bāngmáng ma?
Habari gani, unataka msaada.
-
 2. 我交电话费。
Wǒ jiāo diànhuàfèi.
Nataka kutoa malipo ya matumizi ya simu.
-
 3. 我交电费。
Wǒ jiāo diànfèi.
Nataka kutoa malipo ya matumizi ya umeme.
-
 4. 银行星期日休息吗?
Yínháng xīngqīrì xiūxi ma?
Benki wanapumzika jumapili?
-
 1. 我要办理汇款。
Wǒ yào bànlǐ huì kuǎn.
Nataka kumtumia mtu pesa.
-
 2. 10分钟左右能到账。
Shí fēnzhōng zuǒyòu néng dào zhàng.
Pesa unazomtumia zitamfikia baada ya dakika 10 hivi.
-
 3. 手续费是多少?
Shǒuxùfèi shì duōshao?
Malipo ya huduma hiyo ni kiasi gani?
-
 4. 每笔最高收费50元。
Měi bǐ zuì gāo shōufèi wǔshí yuán.
Kila mara malipo ya juu zaidi ni ndani ya Yuan 50.
|