-
Naweza kulipa kwa kadi?
可以 kě yǐ, weza.
刷卡 shuā kǎ, lipa kwa kadi.
吗 ma, kisaidizi cha neno kwa kuuliza. -
Unalipa kwa fedha taslim au kwa kadi?
交现金 jiāo xiàn jīn, lipa kwa fedha taslim.
还是 hái shi, au.
刷卡 shuā kǎ, kulipa kwa kadi. -
Nalipa kwa kadi.
我 wǒ, mimi.
刷 shuā, kulipa.
信用卡 xìn yòng kǎ, kadi. -
Tafadhali weka saini hapa.
请 qǐng, tafadhali.
您 nín, wewe.
在这里zài zhè lǐ, hapa.
签字 qiān zì, tia saini.