somo 46 Kukutana na madaktari
-
 1. 你得去看医生。
Nǐ děi qù kàn yīshēng.
Ungeenda kuonana na daktari.
-
 2. 你能陪我去医院吗?
Nǐ néng péi wǒ qù yīyuàn ma?
Unaweza kufuatana nami kwenda hospitali?
-
 3. 在哪儿挂号?
Zài nǎr guàhào?
Niende wapi kupata namba ya kusubiri?
-
 4. 挂一个专家号。
Guà yí gè zhuānjiāhào.
Nataka kupata namba ya kusubiri kukutana na mtaalamu.
-
 1. 你哪儿不舒服?
Nǐ nǎr bù shūfu?
Una maumivu sehemu gani mwilini?
-
 2. 我头疼。
Wǒ tóuténg.
Nina maumivu kichwani.
-
 3. 我拉肚子。
Wǒ lādùzi.
Ninaharisha.
-
 4. 先量一下体温。
Xiān liáng yí xià tǐwēn.
Pima kwanza joto la mwili.
-
 5. 什么时候开始的?
Shénme shíhou kāishǐ de?
Hali hii ilianza siku gani?
|