- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Daktari humwuliza mgonjwa: 你哪儿不舒服? Una maumivu sehemu gani mwilini?
你 nǐ, wewe.
哪儿 nǎr, sehemu gani.
不舒服 bù shū fu, kuwa na maumivu.
-
我头疼。Naona maumivu kichwani.
我 wǒ, mimi.
头 tóu, kichwa.
疼 téng, uma.
-
Unaonaje?
-
Naona hali yangu si nzuri.
-
Una maumivu sehemu gani mwilini?
-
Naona maumivu kichwani.