- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Ukiona mtu fulani amejeruhiwa, unaweza kuwambia watu wengine: 快叫救护车!Piga haraka simu ya kuomba gari la huduma ya kwanza!
快 kuài, haraka.
叫 jiào, omba.
救护 jiù hù, huduma ya kwanza.
车 chē, gari.
救护车 jiù hù chē, gari la huduma ya kwanza.
-
Kuna mtu aliyejeruhiwa!
-
Piga haraka simu ya kuomba gari la huduma ya kwanza!