somo 50 Kutoa malipo na kuchukua dawa

 ongea na CRI
 
  • angalia
  • kujifunza
  • mazoezi
  • 正常播放     请您先去交费。Qǐng nín xiān qù jiāo fèi.
    Katika hospitali, baada ya kutibiwa na daktari, mtu huwa anaweza kuambiwa: 请您先去交费. Tafadhali uende kutoa malipo kwanza.
    请 qǐng, tafadhali.
    您 nín, wewe.
    先 xiān, kwanza.
    去 qù, enda.
    交费 jiāo fèi, kutoa malipo.
  • 正常播放  慢速播放  A:请您先去交费。
    Qǐng nín xiān qù jiāo fèi.
    Tafadhali kwanza nenda kutoa malipo.
  • 正常播放  慢速播放  B: 好的,谢谢。
    Hǎo de, xièxie.
    Haya, asante.